KOMBE LA SHIRIKISHO.
Magoli mawili yaliyotiwa kimiani jana na mshambuliaji mahiri raia wa Burundi Amis Tambwe yaihakikishia yanga kwa75% kuwatupa nje wanajeshi wa BDF XI kutoka botswana.
Asilimia 25 zilizobakia inategemea matokeo ya mechi ya marudiano itakayopigwa baadaye nchini Botswana.
Yanga wana kila sababu ya kusonga mbele kwani wachezaji wameonyesha ari ya ushindi ambayo wanatakiwa waendelee kuwa nayo katika mechi zote za usoni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni