Uchina imesema kuwa kikosi chake kwa
kwanza maalum cha kijeshi kilichojumuishwa wanajeshi wa kulinda amani
wa Umoja wa mataifa kimeanza shughuli zake nchini Sudan kusini.
Katika kipindi cha majuma machache yajayo, jumla ya wachina mia saba watawasili nchini humo .Watakuwa na ndege zisizokua na rubani, vifaru na makombora.
Uchina haijawahi kuwatuma maelfu ya walinda amani , lakini imekuwa zaidi ikitoa misaada kwa ajili ya amani. .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni