.Barabarani
Kufuatia matukio ya ajali mara kwa mara mpaka inaonekana kama jambo la kawaida,ufike wakati sasa sheria zifuatwe na kuchukua mkondo wake pale inapoonekana wazi kuwa kuna jambo limefanyika kinyume na agizo la usalama barabarani.
Picha zifuatazo ni kati ya matukio ya ajali zilizowahi kutokea.Inasikitisha sana ni kama stori kwetu lakini ni majonzi kwa yaliowafika.
Sheria zikifuatwa bila kupepesa macho,inawezekana kupunguza matukio kwa kiasi cha kuridhisha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni