Jumapili, 15 Februari 2015

SIMBA WAWILI WASAMBARATISHA KITUO CHA POLISI MOROGORO.

LIGI KUU TANZANIA BARA

Huku wachezaji wa simba wakicheza mpira wao wa kasi na pasi fupi,leo wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli mawili bila majibu kutoka kwa Polisi ya Morogoro.

Magoli mawili ya Simba yamepachikwa kimiani na Ibrahim Hajib pamoja na Maguri.Wakati huo huo kipa Ivo Mapunda aliumia na kushindwa kuendelea na mchezo na nafasi yake kuchukuliwa na golikipa chipukizi Manyika Peter.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni