Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa akimshukuru
Mjumbe wa halmashauri mkuu taifa kutoka Serengeti Patric Chandi Marwa
huku mwenyekiti wa CCM Serengeti (kulia) Vicent Nyamasagi akitabasamu.
Uongozi huo wa CCM Serengeti ulikwenda nyumbani kwa Mh Lowassa Monduli
kumuomba atangaze nia kuwa urais kupitia Chama hicho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni