Jumamosi, 14 Februari 2015

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA,SEKONDARI YA KAIZIREGE YAONGOZA...LISTI KAMILI IKO HAPA.

Ufaulu Kidato cha Nne 2014 wapanda kwa asilimia 10 Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu ikiwa ni ongezeko la 10.08% kulinganisha na mwaka 2013 ambapo wanafunzi 235,227 sawa na 58.25 walifualu. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu ikiwa ni ongezeko la 10.08% kulinganisha na mwaka 2013 ambapo wanafunzi 235227 sawa na 58.25 walifualu. Akitangaza matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka 2014 leo jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 89,845 sawa na asilimia 66.61 wakati wavulana ni 106,960. Amesema watahiniwa wa shule waliofaulu ni 167,643 sawa na asilimia 69.76 ya waliofanya mtihani, wasichana wakiwa 75,950 sawa na asilimia 68.70 na wavulana 91,693 sawa na asilimia 70.67. Amesema mwaka 2013 watahiniwa 201,152 sawa na asilimia 57.09 ya watahiniwa wa shule walifaulu mtihani huo hivyo ufaulu kwa wanafunzi wa shule umepanda kwa asilimia 12.67 mwaka 2014 ikilinganishwa na mwaka 2013. Akizungumzia ubora wa ufaulu, Dkt Msonde amesema kuwa jumla ya watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa madaraja ya Distinction, Merit na Credit ni 73,832 sawa na asilimia 30.72 wakiwemo wasichana 27,991 sawa na asilimia 25.32 na wavulana ni 45,841 sawa na asilimia 35.33. Watahiniwa waliopata daraja la PASS 93,811 sawa na asilimia 39.04 na waliofeli kwa kupata daraja la FAIL 72,667 sawa na asilimia 30.24. Kuhusu ufaulu wa masomo, Dkt Msonde amesema kuwa ufaulu katika masomo ya msingi umepanda kwa kati ya asilimia 1.28 na 11.22 ikilinganishwa na mwaka 2013. Ufaulu wa juu kabisa umekuwa katika somo la Kiswahili ambapo asilimia 69.66 ya watahiniwa wote wamefaulu na ufaulu chini kabisa ni wa somo la Basic Mathematics ambapo asilimia 19.58. Amesema Baraza limefuta matokeo ya watahiniwa 184 baada ya kubainika kufanya udanganyifu, kati yao 128 ni watahiniwa wa kujitegemea na 56 ni watahiniwa wa shule. Akizitaja shule kumi bora kwa ufaulu Dkt Msonde amesema shule hizo ni; Kaizirege mkoa wa Kagera Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza Marian Boys mkoa wa Pwani St. Francis Girls mkoa wa Mbeya Abbey mkoa wa Mtwara Feza Girls mkoa wa Dar es salaam Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa Marian Girls mkoa wa Pwani Feza Boys mkoa wa Dar es laam. Shule 10 za mwisho ni; Manolo mkoa wa Tanga Chokocho mkoa wa Pemba Kwalugulu mkoa wa Tanga Relini mkoa wa Dar es salaam Mashindei mkoa wa Tanga Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma Vudee mkoa wa Kilimanjaro Mnazi mkoa wa Tanga Ruhembe mkoa wa Morogoro Magoma mkoa wa Tanga. Dkt Msonde pia ametaja watahiniwa 10 waliofanya vizuri kuwa ni; Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar es salaam Samwel M Adam kutoka Marian Boys Pwani Fainess John Mwakisimba kutoka kutoka St Francis Girls Mbeya Mugisha Reynold Lukambuzi kutoka Bendel Memorial Kilimanjaro Paul W Jijimya kutoka Marian Boys Pwani Angel Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya Atuganile Cairo Jimmy kutoka Canossa Jenifa Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya Mahmoud Dadi Bakili kutoka Feza Boys. Chanzo: IPP Media P0101 AZANIA CENTRE P0104 BWIRU BOYS CENTRE P0108 IFUNDA CENTRE P0110 ILBORU CENTRE P0112 IYUNGA CENTRE P0116 KANTALAMBA CENTRE P0119 KIBAHA CENTRE P0123 KWIRO CENTRE P0128 MALANGALI CENTRE P0129 MARA CENTRE P0132 MILAMBO CENTRE P0134 MOSHI CENTRE P0135 MOSHI TECHNICAL CENTRE P0136 MUSOMA CENTRE P0140 MZUMBE CENTRE P0143 NJOMBE CENTRE P0147 PUGU CENTRE P0150 SAME CENTRE P0152 SHINYANGA CENTRE P0153 SONGEA BOYS CENTRE P0156 TANGA TECH. CENTRE P0157 HANGA RELIGIOUS SEMINARY CENTRE P0167 KIDUGALA SEMINARY CENTRE P0173 NYAMILAMA CENTRE P0176 LUSANGI MORAVIAN JUNIOR SEMINARY P0178 MANOW LUTHERAN SEMINARY P0179 ST. MARY’S SEMINARY MBALIZI P0181 KISARAWE LUTHERAN JUNIOR SEMINARY P0182 AL-FAROUQ SEMINARY CENTRE P0184 AGAPE LUTH JUNIOR SEMINARY CENTRE P0197 MATANGINI ISLAMIC SEMINARY CENTRE P0202 BWIRU GIRLS P0203 IRINGA GIRLS CENTRE P0209 KOROGWE CENTRE P0210 BIGWA SISTERS CENTRE P0211 LOLEZA CENTRE P0214 MSALATO CENTRE P0217 PERAMIHO GIRLS CENTRE P0218 RUGAMBWA CENTRE P0219 SONGEA GIRLS CENTRE P0220 TABORA GIRLS CENTRE P0222 ZANAKI CENTRE P0225 CAGLIERO GIRLS CENTRE P0236 KILIMANJARO ACADEMY CENTRE P0238 MRUMA GIRLS CENTRE P0241 KOWAK CENTRE P0242 ST. MARGARET GIRLS S P0253 GREEN BIRD GIRLS CENTRE P0254 WAL UL ASR GIRLS SEC CENTRE P0259 SAMARITAN GIRLS CENTRE P0265 CORNELIUS CENTRE P0267 ROSEMARIE GIRLS CEN P0272 AL-LHASAN CENTRE P0275 GLENRONS GIRLS CEN P0279 EMMABERG CENTRE P0280 UMMU-SSALAMA GIRLS CENTRE P0291 GHOMME CENTRE P0301 AIRWING J.W.T.Z. CENTRE P0302 ARUSHA CENTRE P0303 ARUSHA-MERU CENTRE P0305 BULUBA CENTRE P0306 DODOMA CENTRE P0307 DODOMA CENTRAL CENTRE P0308 ENABOISHU CENTRE P0309 FIDEL CASTRO CENTRE P0310 FORESTHILL CENTRE P0313 IKIZU CENTRE P0314 KAZIMA CENTRE P0316 KIBASILA SEC.SCHOOL CENTRE P0317 KIBO CENTRE P0318 KIBOHEHE CENTRE P0320 KIGOMA CENTRE P0321 KINONDONI CENTRE P0323 LAKE CENTRE P0324 LINDI CENTRE P0325 LUGALO CENTRE P0326 LUMUMBA CENTRE P0327 MINJA TECH. CENTRE P0328 MAWENZI CENTRE P0329 MAKUMIRA CENTRE P0330 MBEYA CENTRE P0331 MKONGE CENTRE P0332 MOROGORO CENTRE P0333 MWANZA CENTRE P0334 MWENGE CENTRE P0336 HUDUMA J.W.T.Z. CENTRE P0337 NAVY J.W.T.Z. CENTRE P0338 NDANDA CENTRE P0340 POPATLAL CENTRE P0341 SANGU CENTRE P0343 SIHA CENTRE P0345 USAGARA CENTRE P0352 TARIME CENTRE P0353 PARANE CENTRE P0355 LOMWE CENTRE P0358 SHIGHATINI CENTRE P0359 KIGURUNYEMBE CENTRE P0360 KISHOJU CENTRE P0361 SINGE CENTRE P0364 KARATU CENTRE P0368 IMBORU CENTRE P0375 JUMUIYA CENTRE P0377 LUGALO J.W.T.Z. CENTRE P0378 HEGONGO CENTRE P0379 MGULANI J.K.T. CENTRE P0380 UCHAMA CENTRE P0381 UTAANI CENTRE P0383 BEN BELLA CENTRE P0384 MIKUNGUNI CENTRE P0385 UJIJI P0386 GEITA CENTRE P0387 KARAGWE CENTRE P0389 SHAURITANGA CENTRE P0391 HAILE SELASSIE CENTRE P0394 NGERENGERE J.W.T.Z. CENTRE P0397 RULENGE CENTRE P0399 MIRAMBO J.W.T.Z. CENTRE P0400 SHAMIANI CENTRE P0401 NAMFUA CENTRE P0402 MKWAJUNI CENTRE P0403 MAKUNDUCHI CENTRE P0404 TUNDURU CENTRE P0407 MUGEZA CENTRE P0409 MORINGE SOKOINE CENTRE P0410 UZINI CENTRE P0411 KONDE CENTRE P0412 KANGANI CENTRE P0413 KIBITI CENTRE P0416 MONDULI TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0417 MWAKALELI CENTRE P0418 LUTENGANO CENTRE P0419 CHOME CENTRE P0421 MBINGA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0422 HEDARU CENTRE P0423 BULIMA CENTRE P0424 BUSTANI TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0425 MPWAPWA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0426 WANGING’OMBE CENTRE P0427 MAKAMBAKO CENTRE P0428 MPECHI CENTRE P0431 MTWANGO CENTRE P0432 JABAL-HIRA CENTRE P0434 NDEMBELA P0435 BISHOP MOSHI CENTRE P0438 MASJID QUBAH MUSLIM SEM. CENTRE P0440 SONGEA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0441 KILWA CENTRE P0443 META CENTRE P0444 ITAMBA CENTRE P0445 MWEMBETOGWA CENTRE P0446 MGOLOLO CENTRE P0448 SAADANI CENTRE P0449 J J MUNGAI CENTRE P0451 ENDAROFTA CENTRE P0453 DONGOBESH CENTRE P0457 IGAWILO CENTRE P0458 KASULU TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0460 IRAMBO CENTRE P0461 JOHN PAUL II KAHAMA CENTRE P0462 WIGEHE CENTRE P0464 KILOMBERO CENTRE P0465 JAMHURI CENTRE P0467 NYUKI J.W.T.Z. CENTRE P0468 KIRIKI CENTRE P0469 NACHINGWEA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0471 MBOZI CENTRE P0476 MWANGAZA CENTRE P0477 CHIMALA CENTRE P0478 KIPOKE P0481 KITANGALI TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0487 MADUNDA CENTRE P0488 RUTABO CENTRE P0489 SUJI CENTRE P0490 SHEMSANGA CENTRE P0493 AL-HARAMAIN CENTRE P0495 MILALA CENTRE P0498 DINDIMO CENTRE P0501 UWELENI CENTRE P0505 EKENYWA CENTRE P0506 UNGWASI CENTRE P0508 MLAMA CENTRE P0511 HANDENI CENTRE P0514 UROKI P0516 MOMBO CENTRE P0517 KILI CENTRE P0521 MATOMBO CENTRE P0524 RUJEWA CENTRE P0525 MKONO WA MARA CENTRE P0528 SABASABA CENTRE P0531 RUAHA CENTRE P0533 SARWATT CENTRE P0534 ST.ANTHONY’S MBAGALA CENTRE P0537 ST.PAUL’S CENTRE P0538 VWAWA P0539 MAGU CENTRE P0540 MAPOSENI CENTRE P0544 MKUU CENTRE P0546 PAMBA (I A E) CENTRE P0548 SHAMBALAI P0549 LUGOBA CENTRE P0550 BUGENE CENTRE P0553 NEWALA CENTRE P0554 NGUDU CENTRE P0560 KASULU CENTRE P0563 TABORA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0564 BUSWELU CENTRE P0565 BWASI P0566 BUTIMBA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0572 MPUGUSO TEACHERS’ COLLEGE CENTRE P0577 NURULYAKIN MUSLIM SEM. CENTRE P0578 TAQWA CENTRE P0580 IGOWOLE CENTRE P0581 ILEJE CENTRE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni