Jumamosi, 14 Februari 2015

PAMOJA NA UTITIRI WA MAGARI YA USAFIRI JIJINI DAR,BADO ABIRIA WA MBAGALA MAMBO SI SHWARI.

Dirisha limegeuka kuwa mlango,hii yote ni katika kuwahi viti.

Ni abiria wa Mbagala-Posta jijini Dar-es-salaam wakiwa katika mahangaiko ya kujihakikishia usafiri kuelekea majumbani baada ya shughuli za kutwa mzima.

Tatizo hili lipo katika vituo vyote vinavyohusisha Mbagala.Huenda ni kwa sababu ya idadi kubwa ya wakazi wanaoishi eneo hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni