Jumapili, 15 Februari 2015

MATAJIRI WA CHAMAZI NAO HAWA HAPA

Klabu bingwa barani Afrika

Timu ya Azam FC leo imeweza kuidadavua El merreikh ya sudan katika mchezo wa awali wa klabu bingwa kwa jumla ya mabao mawili yakifungwa katika vipindi tofauti kwani mpaka timu zinakwenda mapumziko Azam walitoka kifuambele kwa goli moja lililofungwa na Didier Kavumbagu.

Kipindi cha pili ndio lala salama ambapo Azam FC tena walifanikiwa kuongeza bao la pili kupitia kwa John Bocco na kufanya hadi mwisho AzamFC 2-0 El merreikh.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni