Jumatano, 11 Machi 2015

YALIYOSEMWA NA HASSAN ISIHAKA KABLA YA MECHI.

Isihaka alisema; “Kiukweli tupo tayari kwa mechi hiyo, tumejiandaa vizuri na kocha katuandaa ipasavyo, tunachotaka kutoka kwa Yanga ni pointi tatu tu na si vinginevyo ambazo tuna uhakika kuwa tunazipata.

GAZETI MWANASPOTI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni