Timu ya Simba ya Dar es salaam leo imeweza kuwatoa kimasomaso mashabiki wake baada ya kuwafunga mahasimu wao,timu ya Yanga ya Dar es salaam kwa bao lililofungwa na Emanuel Anold Okwi dakika ya 51.Mpaka mwisho SIMBA1-0 YANGA.
Vikosi vilipangwa kama ifuatavyo
SIMBA SC. 1. Ivo Mapunda 2. Ramadhan 3. Mohhamed Hussein 4. Hassan Isihaka 5. Juuko Murshid 6. Abdi Banda. Alitoka dakika ya 85 na nafasi yake kuchukuliwa na Simon Sserunkuma. 7. Ramadhani Singano 8. Jonas Mkude 9. Ibrahim Ajib, alitoka Dakika ya 75 na Elias Maguli kuchukua nafasi yake. 10. Said Ndemla 11. Emanuel Okwi SUB 1. Manyika Peter 2. Nassor Masoud 3. Joseph Owino 4. Simon Sserunkuma 5. Dam Sserunkuma 6. Elias Maguli 7. Awadhi Juma YANGA SC 1. Ally Mustafa 2. Mbuyu Twite 3. Oscar Joshua 4. Nadir Haroub 5. Kelven Yondani 6. Said Juma 7. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima. Alipewa kadi Nyekundu dakika ya 73. 9. Amis Tambwe 10. Mrisho Ngassa. Alitoka dakika ya 76 na Khap Sherman akaingia. 11. Danny Mrwanda. Alitolewa katika dakika ya 29 na Hussein Javu anaingia SUB 1. Deogratius Munishi 2.Rajab Zahir 3. Pato Ngonyani 4. Salum Telela 5. Said Dilunga 6. Hussein Javu 7. Khap Sherman WAAMUZI 1. Referee. Martin Saanya kutoka Morogoro. 2. 1 st Ass Soud Lila kutoka Dar es salaam 3. 2nd Ass Frolent Zabron kutoka Dodoma 4. 4 th Official Islael Mjuni
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni