Ijumaa, 6 Machi 2015
ZAIDI YA WATU 60 WAPOTEZA MAISHA NIGERIA.
Zaidi ya Watu 60 wapoteza maisha
Nigeria
Wakazi wamekuwa wakiyakimbia makazi yao
kutokana na mashambulizi ya Boko Haram
Zaidi ya Watu 60 wameuawa na kundi la watu
wanaodhaniwa kuwa Boko Haama kaskazini
Mashariki mwa Nigeria.
Wakazi wa wanasema Wanamgambo wa kiislamu
walishambulia kijiji cha Njaba katika jimbo la Borno
alfajiri ya jumanne, na kuwaua Watu wakiwemo
vijana wadogo.
Shuhuda mmoja katika kijiji hicho ameiambia BBC
kuwa watu walilazimika kuyakimbia makazi yao na
kuwaacha waliopoteza maisha, wamekuwa
wakihofu kurejea.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni